HomeSPORTS Spurs yamtimua Jose Mourinho byMAIS SPORTS -April 19, 2021 0 Klabu ya Tottenham imeamua kuachana na Kocha wake raia wa Ureno Jose Mourinho kufuatia matokeo mabovu ambayo wameendelea kuyapata tangu kuanza kukinoa kikosi hiko kinachoshiriki Ligi Kuu Engand. Tags: SPORTS Facebook Twitter