PSG na mipango yao kuhusu Messi, Kane na Salah


Mabingwa wa Ufaransa klabu ya Paris St-Germain wamefanya mawasiliano na wawakilishi wa mshambualiaji nyota wa Liverpool Mohamed Salah, 28, ili kumsajili mchezaji huyo tegemezi pia wa timu ya taifa ya Misri. (Telefoot on Twitter – in French)

 

1 Comments

Previous Post Next Post