Lingard hana mpango wa kurudi United

 


Kiungo wa kati wa England Jesse Lingard, 28, hajaamua kuhusu ikiwa anataka kurejea Manchester United baada ya kucheza vyema kwa mkataba wa mkopo West Ham. (Goal)

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28, ameonekana kuwa katika kiwango bora zaidi akiwa ndani ya kikasi cha West Ham ambapo anaitumikia timu hiyo kwa mkopo akitokea Manchester United.

Licha ya kocha Ole Gunnar Solskjaer kusema kuwa nyota huyo anakaribishwa kurejea Manchester United msimu huu lakini inadaiwa mchezaji huyo bado hajafanya maamuzi yoyote juu ya kurejea kwake.


Post a Comment

Previous Post Next Post